Karibu sana Rafiki!

Sisi ni Watanzania wenzako tuofanya kazi na kampuni kubwa sana duniani yenye kuaminika na kuwepo zaidi ya miaka 35 iliyopita, mamia na maelfu wanatuelewa na kutukubali pia vivyo hivyo hata hapa tanzania!

Sisi ni wamiliki binafsi na tuko hapa kukusaidi kukupa maelekezo ya jinsi gani leo wewe utaweza kuanza njia mpya ya kupunguza uzito, kujiweka madhubuti kwa Dawa na mfumo rahisi na mashuhuri kabisa wa kupunguza Unene, Uzito Haraka.

ANGALIZO!: Matokeo ya wateja wetu yanaweza yasifanane moja kwa moja kwako! hii inatokana na kiwango cha usiriazi ulichonacho wewe mwenyewe! Kumbuka sisi tuko hapa kukuhudumia kinachobakia ni wewe kuweka mkazo na kushinda hili janga lako la uzizo!

Tamazama hii Video

Jaza hii fomu lipia na utapigiwa simu ndani ya masaa yasiyozidi 24 -48, karibu!

ANGALIZO PIA utatambua kuwa bei za TSHS zilizopo kwenye video ni Tofauti na za kwenye fomu hii utakayojaza! haya ni matatizo yaliyopo kati ya US$ na TSHS yetu! rate ya sasa ni U$1 = TSHS2,195 Lipia kwa bei iliyopo kwenye fomu hii. Asante!

Kama ukiweza kupitia wikipedia wanasema hivi kuhusu Unene wa kupindukia ni hali ya kimatibabu ambapo mafuta ya ziada ya mwili hulimbikizana hadi kiwango kinachoweza kuathiri vikubwa afya, ikipelekea kupungua kwa matarajio ya urefu wa maisha na/au ongezeko la matatizo ya kiafya.

Watu hutajika kuwa na unene wa kupindukia wakati nambapeo ya mata ya mwili (NMM), kipimo kinachopatikana kwa kugawanya uzito wa mtu ulio katika kilogramu kwa mraba wa urefu wake katika mita, imezidi vipimo 30 kg/m2.

Unene wa kupindukia huongeza uwezekano wa magonjwa mbali mbali, hususanugonjwa wa moyo, aina ya 2 ya kisukari, apnea pingani ya usingizi, aina fulani za saratani, osteoathritisi and pumu.

Unene wa kupindukia mara nyingi husababishwa na ujumuisho wa kula chakula kilicho na nguvu nyingi, ukosefu wa mazoezi ya mwili, nahatarisho la kijeni, ingawa visa vichache husababishwa kwa kimsingi na jeni, matatizo yakiendrosini,matibabu au maradhi ya kiakili.

Ushahidi wa kudhibitisha dhana kuwa baadhi ya watu hunenepa hata ingawa wao hula kiasi kidogo hautoshi; kwa wastani, watu wanene hutumia nguvu nyingi kuliko watu wadogo kwa sababu ya nguvu zinazohitajika kuimarisha mata kubwa ya mwili.

Chakula bora namazoezi ya mwilindiyo njia kuu za kutibu unene wa kupindukia. Ubora wa chakula unaweza kuimarishwa kwa kutumia vyakula vilivyo na nguvu nyingi, kama vile vyakula vilivyo na kiwango cha juu cha mafuta na sukari, na kwa kutumia unyuzi wa chakula kwa wingi zaidi.

Dawa za kukabiliana na unene wa kupindukiazinaweza kutumiwa kupunguza hamu ya chakula au kuzuia ufyonzaji wa mafuta, huku mtu akila chakula kinachofaa.

Iwapo chakula bora, mazoezi na matibabu hayatoshi, mpira wa utumboni unaweza kusaidia kupunguza uzito wa mwili, auupasuaji unaweza kufanywa ili kupunguza ukubwa wa tumbo na/au urefu wa matumbo.

Upasuaji huu hupelekea mtu kushiba upesi na kupunguza uwezo wa kufyonza virutubishi vilivyo katika chakula.

Unene wa kupindukia ni kisababishi kinachozuilika cha kifoulimwenguni kote, huku kiwango chake cha ueneaji kikiongezeka kwa watu wazima na watoto.

Viongozi huamini kuwa tatizo hili ni mojawapo ya matatizo makuu zaidi ya afya ya umma katika karne ya 21 century.

Unene wa kupindukia kufedheheshwa katika sehemu nyingi za ulimwengu wa kisasa (hasa katika Ulimwengu wa Magharibi), ingawa hali hii ilionekana na watu wengi kama ishara ya utajiri na afya bora katika nyakati za awali za historia, na pia huonekana hivyo katika baadhi ya sehemu za ulimwengu.

Karibu sana,

Kwa Dawa na Mfumo Rahisi Wa Kupunguza Unene Haraka Kilo 5-13kg kwa SIKU 9 TU! JAZA HII FORM HAPA.